Matendo 2:30
Acts 2:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini alikuwa nabii na alijua ya kuwa Mungu alikuwa amemwahidi kwa kiapo kwamba angemweka mmoja wa wazao wake penye kiti chake cha enzi.
Acts 2:30 in English
Acts 2:30 · Berean Standard Bible
But he was a prophet and knew that God had promised him on oath that He would place one of his descendants on his throne.*
Context
28Umenionyesha njia za uzima,
utanijaza na furaha mbele zako.’ 29“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa mpaka leo. 30Lakini alikuwa nabii na alijua ya kuwa Mungu alikuwa amemwahidi kwa kiapo kwamba angemweka mmoja wa wazao wake penye kiti chake cha enzi. 31Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo,* kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu. 32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.