Matendo 2:32
Acts 2:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.
Acts 2:32 in English
Acts 2:32 · Berean Standard Bible
God has raised this Jesus to life, to which we are all witnesses.
Context
30Lakini alikuwa nabii na alijua ya kuwa Mungu alikuwa amemwahidi kwa kiapo kwamba angemweka mmoja wa wazao wake penye kiti chake cha enzi. 31Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo,* kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu. 32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo. 33Basi ikiwa yeye ametukuzwa kwa mkono wa kuume wa Mungu, amepokea kutoka kwa Baba ahadi ya Roho Mtakatifu, naye amemimina kile mnachoona sasa na kusikia. 34Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema,
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.