Matendo 2:34
Acts 2:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,
Acts 2:34 in English
Acts 2:34 · Berean Standard Bible
For David did not ascend into heaven, but he himself says: ‘The Lord said to my Lord, “Sit at My right hand
Context
32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo. 33Basi ikiwa yeye ametukuzwa kwa mkono wa kuume wa Mungu, amepokea kutoka kwa Baba ahadi ya Roho Mtakatifu, naye amemimina kile mnachoona sasa na kusikia. 34Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema,
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume, 35hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’ 36“Kwa hiyo Israeli wote na wajue jambo hili kwa uhakika kwamba: Mungu amemfanya huyu Yesu, ambaye ninyi mlimsulubisha, kuwa Bwana na Kristo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.