Matendo 2:35
Acts 2:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Acts 2:35 in English
Acts 2:35 · Berean Standard Bible
until I make Your enemies a footstool for Your feet.”’*
Context
33Basi ikiwa yeye ametukuzwa kwa mkono wa kuume wa Mungu, amepokea kutoka kwa Baba ahadi ya Roho Mtakatifu, naye amemimina kile mnachoona sasa na kusikia. 34Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema,
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume, 35hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’ 36“Kwa hiyo Israeli wote na wajue jambo hili kwa uhakika kwamba: Mungu amemfanya huyu Yesu, ambaye ninyi mlimsulubisha, kuwa Bwana na Kristo.” 37Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.