Matendo 2:33
Acts 2:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi ikiwa yeye ametukuzwa kwa mkono wa kuume wa Mungu, amepokea kutoka kwa Baba ahadi ya Roho Mtakatifu, naye amemimina kile mnachoona sasa na kusikia.
Acts 2:33 in English
Acts 2:33 · Berean Standard Bible
Exalted, then, to the right hand of God, He has received from the Father the promised Holy Spirit and has poured out what you now see and hear.
Context
31Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo,* kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu. 32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo. 33Basi ikiwa yeye ametukuzwa kwa mkono wa kuume wa Mungu, amepokea kutoka kwa Baba ahadi ya Roho Mtakatifu, naye amemimina kile mnachoona sasa na kusikia. 34Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema,
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume, 35hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.