Matendo 2:28
Acts 2:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umenionyesha njia za uzima, utanijaza na furaha mbele zako.’
Acts 2:28 in English
Acts 2:28 · Berean Standard Bible
You have made known to me the paths of life; You will fill me with joy in Your presence.’*
Context
26Kwa hiyo moyo wangu unafurahia,
na ulimi wangu unashangilia;
mwili wangu nao utapumzika kwa tumaini. 27Kwa maana hutaniacha kaburini,
wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 28Umenionyesha njia za uzima,
utanijaza na furaha mbele zako.’ 29“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa mpaka leo. 30Lakini alikuwa nabii na alijua ya kuwa Mungu alikuwa amemwahidi kwa kiapo kwamba angemweka mmoja wa wazao wake penye kiti chake cha enzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.