Matendo 2:27
Acts 2:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.
Acts 2:27 in English
Acts 2:27 · Berean Standard Bible
because You will not abandon my soul to Hades, nor will You let Your Holy One see decay.
Context
25Kwa maana Daudi asema kumhusu yeye:
“ ‘Nalimwona Bwana mbele yangu daima.
Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume,
sitatikisika. 26Kwa hiyo moyo wangu unafurahia,
na ulimi wangu unashangilia;
mwili wangu nao utapumzika kwa tumaini. 27Kwa maana hutaniacha kaburini,
wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 28Umenionyesha njia za uzima,
utanijaza na furaha mbele zako.’ 29“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa mpaka leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.