Native Bible

2 Samuel 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini watu waovu wote watatupwa kando kama miiba, ambayo haikusanywi kwa mkono.

2 Samuel 23:6 in English

2 Samuel 23:6 · Berean Standard Bible

But the worthless are all like thorns raked aside, for they can never be gathered by hand.

Context

4yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua uchipuzao majani kutoka ardhini.’ 5“Je, si hivyo ilivyo nyumba yangu mbele za Mungu? Je, hajafanya Agano la milele nami, lililopangwa na kuimarishwa kila sehemu? Je, hatanifanya niufurahie wokovu wangu na kunijalia matakwa yangu yote? 6Lakini watu waovu wote watatupwa kando kama miiba, ambayo haikusanywi kwa mkono. 7Yeyote agusaye miiba hutumia chombo cha chuma au mpini wa mkuki, nayo huchomwa pale ilipo.” 8Haya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi: Yosheb-Bashebethi,* Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.