2 Samweli 23:7
2 Samuel 23:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeyote agusaye miiba hutumia chombo cha chuma au mpini wa mkuki, nayo huchomwa pale ilipo.”
2 Samuel 23:7 in English
2 Samuel 23:7 · Berean Standard Bible
The man who touches them must be armed with iron or with the shaft of a spear. The fire burns them to ashes in the place where they lie.”
Context
5“Je, si hivyo ilivyo nyumba yangu
mbele za Mungu?
Je, hajafanya Agano la milele nami,
lililopangwa na kuimarishwa
kila sehemu?
Je, hatanifanya niufurahie wokovu wangu
na kunijalia matakwa yangu yote? 6Lakini watu waovu wote
watatupwa kando kama miiba,
ambayo haikusanywi kwa mkono. 7Yeyote agusaye miiba
hutumia chombo cha chuma
au mpini wa mkuki,
nayo huchomwa pale ilipo.” 8Haya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi:
Yosheb-Bashebethi,* Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja. 9Wa pili wake alikuwa Eleazari mwana wa Dodai,* Mwahohi. Akiwa mmojawapo wa wale mashujaa watatu, alikuwa pamoja na Daudi wakati waliwadhihaki Wafilisti waliokuwa wamekusanyika huko Pas-Damimu kwa ajili ya vita. Kisha watu wa Israeli wakarudi nyuma,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.