Native Bible

2 Chronicles 17:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita;

2 Chronicles 17:15 in English

2 Chronicles 17:15 · Berean Standard Bible

next to him, Jehohanan the commander, and with him 280,000;

Context

13na akawa na wingi mkubwa wa vitu katika miji ya Yuda. Pia aliweka askari wa vita wenye uzoefu huko Yerusalemu. 14Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo: Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu: Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000; 15aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita; 16aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000. 17Kutoka Benyamini: Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.