2 Nyakati 17:13
2 Chronicles 17:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na akawa na wingi mkubwa wa vitu katika miji ya Yuda. Pia aliweka askari wa vita wenye uzoefu huko Yerusalemu.
2 Chronicles 17:13 in English
2 Chronicles 17:13 · Berean Standard Bible
and kept vast supplies in the cities of Judah. He also had warriors in Jerusalem who were mighty men of valor.
Context
11Baadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi na fedha kama ushuru, nao Waarabu wakamletea mifugo: kondoo dume 7,700 na mbuzi 7,700. 12Yehoshafati akaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi, akajenga ngome na miji ya hazina katika Yuda 13na akawa na wingi mkubwa wa vitu katika miji ya Yuda. Pia aliweka askari wa vita wenye uzoefu huko Yerusalemu. 14Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo:
Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu:
Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000; 15aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.