Native Bible

2 Chronicles 17:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000.

2 Chronicles 17:16 in English

2 Chronicles 17:16 · Berean Standard Bible

and next to him, Amasiah son of Zichri, the volunteer for the LORD, and with him 200,000 mighty men of valor.

Context

14Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo: Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu: Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000; 15aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita; 16aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000. 17Kutoka Benyamini: Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao; 18aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.