2 Nyakati 17:18
2 Chronicles 17:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.
2 Chronicles 17:18 in English
2 Chronicles 17:18 · Berean Standard Bible
and next to him, Jehozabad, and with him 180,000 armed for battle.
Context
16aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000. 17Kutoka Benyamini:
Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao; 18aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita. 19Hawa ndio waliomtumikia mfalme, mbali na wale mfalme aliweka katika miji yenye ngome huko Yuda yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.