1 Wathesalonike 5:25
1 Thessalonians 5:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndugu, tuombeeni.
1 Thessalonians 5:25 in English
1 Thessalonians 5:25 · Berean Standard Bible
Brothers, pray for us as well.
Context
23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo. 24Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo. 25Ndugu, tuombeeni. 26Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu. 27Nawaagizeni mbele za Bwana mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.