Native Bible

1 Thessalonians 5:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo.

1 Thessalonians 5:23 in English

1 Thessalonians 5:23 · Berean Standard Bible

Now may the God of peace Himself sanctify you completely, and may your entire spirit, soul, and body be kept blameless * at the coming of our Lord Jesus Christ.

Context

21Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema. 22Jiepusheni na uovu wa kila namna. 23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo. 24Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo. 25Ndugu, tuombeeni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.