1 Wathesalonike 5:22
1 Thessalonians 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jiepusheni na uovu wa kila namna.
1 Thessalonians 5:22 in English
1 Thessalonians 5:22 · Berean Standard Bible
Abstain from every form of evil.
Context
20msiyadharau maneno ya unabii. 21Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema. 22Jiepusheni na uovu wa kila namna. 23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo. 24Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.