1 Wathesalonike 5:21
1 Thessalonians 5:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema.
1 Thessalonians 5:21 in English
1 Thessalonians 5:21 · Berean Standard Bible
but test all things. Hold fast to what is good.
Context
19Msiuzime moto wa Roho Mtakatifu; 20msiyadharau maneno ya unabii. 21Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema. 22Jiepusheni na uovu wa kila namna. 23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.