Native Bible

1 Thessalonians 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msiuzime moto wa Roho Mtakatifu;

1 Thessalonians 5:19 in English

Context

17ombeni bila kukoma; 18shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu. 19Msiuzime moto wa Roho Mtakatifu; 20msiyadharau maneno ya unabii. 21Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.