Native Bible

1 Thessalonians 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ombeni bila kukoma;

1 Thessalonians 5:17 in English

Context

15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. 16Furahini siku zote; 17ombeni bila kukoma; 18shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu. 19Msiuzime moto wa Roho Mtakatifu;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.