1 Wathesalonike 5:16
1 Thessalonians 5:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Furahini siku zote;
1 Thessalonians 5:16 in English
1 Thessalonians 5:16 · Berean Standard Bible
Rejoice at all times.
Context
14Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote. 15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. 16Furahini siku zote; 17ombeni bila kukoma; 18shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.