1 Wathesalonike 5:15
1 Thessalonians 5:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.
1 Thessalonians 5:15 in English
1 Thessalonians 5:15 · Berean Standard Bible
Make sure that no one repays evil for evil. Always pursue what is good for one another and for all people.
Context
13Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi. 14Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote. 15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. 16Furahini siku zote; 17ombeni bila kukoma;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.