Native Bible

1 Thessalonians 5:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.

1 Thessalonians 5:24 in English

1 Thessalonians 5:24 · Berean Standard Bible

The One who calls you is faithful, and He will do it.

Context

22Jiepusheni na uovu wa kila namna. 23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo. 24Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo. 25Ndugu, tuombeeni. 26Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.