Native Bible

1 Thessalonians 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu.

1 Thessalonians 5:26 in English

1 Thessalonians 5:26 · Berean Standard Bible

Greet all the brothers with a holy kiss.

Context

24Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo. 25Ndugu, tuombeeni. 26Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu. 27Nawaagizeni mbele za Bwana mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii. 28Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.