1 Nyakati 9:6
1 Chronicles 9:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690.
1 Chronicles 9:6 in English
1 Chronicles 9:6 · Berean Standard Bible
From the Zerahites: Jeuel and 690 relatives.
Context
4Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda. 5Wazao wa Washiloni waliorudi ni:
Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 6Kwa wana wa Zera:
Yeueli.
Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 7Kwa Benyamini walikuwa:
Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua; 8Ibneya mwana wa Yerohamu, Ela mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.