Native Bible

1 Chronicles 9:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;

1 Chronicles 9:7 in English

1 Chronicles 9:7 · Berean Standard Bible

From the Benjamites: Sallu son of Meshullam, the son of Hodaviah, the son of Hassenuah;

Context

5Wazao wa Washiloni waliorudi ni: Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 6Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 7Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua; 8Ibneya mwana wa Yerohamu, Ela mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya. 9Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.