1 Nyakati 9:8
1 Chronicles 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ibneya mwana wa Yerohamu, Ela mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya.
1 Chronicles 9:8 in English
1 Chronicles 9:8 · Berean Standard Bible
Ibneiah son of Jeroham; Elah son of Uzzi, the son of Michri; Meshullam son of Shephatiah, the son of Reuel, the son of Ibnijah;
Context
6Kwa wana wa Zera:
Yeueli.
Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 7Kwa Benyamini walikuwa:
Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua; 8Ibneya mwana wa Yerohamu, Ela mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya. 9Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao. 10Wa jamaa za makuhani walikuwa:
Yedaya, Yehoyaribu na Yakini;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.