1 Nyakati 9:10
1 Chronicles 9:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wa jamaa za makuhani walikuwa: Yedaya, Yehoyaribu na Yakini;
1 Chronicles 9:10 in English
1 Chronicles 9:10 · Berean Standard Bible
From the priests: Jedaiah, Jehoiarib, and Jachin;
Context
8Ibneya mwana wa Yerohamu, Ela mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya. 9Watu kutoka Benyamini kama walivyoorodheshwa katika koo zao jumla yao ni 956. Watu hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao. 10Wa jamaa za makuhani walikuwa:
Yedaya, Yehoyaribu na Yakini; 11Azaria mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu aliyekuwa afisa kiongozi wa nyumba ya Mungu. 12Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya; Maasai, mwana wa Adieli, mwana wa Yahzera, mwana wa Meshulamu, mwana wa Meshilemithi, mwana wa Imeri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.