Native Bible

1 Chronicles 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wazao wa Washiloni waliorudi ni: Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe.

1 Chronicles 9:5 in English

1 Chronicles 9:5 · Berean Standard Bible

From the Shilonites: Asaiah the firstborn and his sons.

Context

3Wale waliotoka Yuda, Benyamini, Efraimu na Manase ambao waliishi Yerusalemu walikuwa: 4Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda. 5Wazao wa Washiloni waliorudi ni: Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 6Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 7Kwa Benyamini walikuwa: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.