1 Nyakati 9:4
1 Chronicles 9:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda.
1 Chronicles 9:4 in English
1 Chronicles 9:4 · Berean Standard Bible
Uthai son of Ammihud, the son of Omri, the son of Imri, the son of Bani, a descendant of Perez son of Judah.
Context
2(1) Watu wa Yuda walichukuliwa mateka kwenda Babeli kwa sababu ya kukosa uaminifu kwa Mungu. (2) Basi watu wa kwanza kurudi kukaa kwenye milki zao katika miji yao walikuwa baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi na watumishi wa Hekalu.* 3Wale waliotoka Yuda, Benyamini, Efraimu na Manase ambao waliishi Yerusalemu walikuwa: 4Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda. 5Wazao wa Washiloni waliorudi ni:
Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 6Kwa wana wa Zera:
Yeueli.
Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.