1 Nyakati 9:3
1 Chronicles 9:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale waliotoka Yuda, Benyamini, Efraimu na Manase ambao waliishi Yerusalemu walikuwa:
1 Chronicles 9:3 in English
1 Chronicles 9:3 · Berean Standard Bible
These were some of the descendants of Judah, Benjamin, Ephraim, and Manasseh who lived in Jerusalem:
Context
1Waisraeli wote waliorodheshwa katika koo zilizoandikwa kwenye kitabu cha wafalme wa Israeli. 2(1) Watu wa Yuda walichukuliwa mateka kwenda Babeli kwa sababu ya kukosa uaminifu kwa Mungu. (2) Basi watu wa kwanza kurudi kukaa kwenye milki zao katika miji yao walikuwa baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi na watumishi wa Hekalu.* 3Wale waliotoka Yuda, Benyamini, Efraimu na Manase ambao waliishi Yerusalemu walikuwa: 4Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda. 5Wazao wa Washiloni waliorudi ni:
Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.