Native Bible

1 Chronicles 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei.

1 Chronicles 6:17 in English

1 Chronicles 6:17 · Berean Standard Bible

These are the names of the sons of Gershom: Libni and Shimei.

Context

15Yehosadaki alihamishwa wakati Bwana aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza. 16Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari. 17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 19Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.