Native Bible

1 Chronicles 6:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yehosadaki alihamishwa wakati Bwana aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza.

1 Chronicles 6:15 in English

1 Chronicles 6:15 · Berean Standard Bible

Jehozadak went into captivity when the LORD sent Judah and Jerusalem into exile by the hand of Nebuchadnezzar.

Context

13Shalumu akamzaa Hilkia, Hilkia akamzaa Azaria, 14Azaria akamzaa Seraya, Seraya akamzaa Yehosadaki. 15Yehosadaki alihamishwa wakati Bwana aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza. 16Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari. 17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.