Native Bible

1 Chronicles 6:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari.

1 Chronicles 6:16 in English

1 Chronicles 6:16 · Berean Standard Bible

The sons of Levi: Gershom,* Kohath, and Merari.

Context

14Azaria akamzaa Seraya, Seraya akamzaa Yehosadaki. 15Yehosadaki alihamishwa wakati Bwana aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza. 16Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari. 17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.