Native Bible

1 Chronicles 6:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

1 Chronicles 6:18 in English

1 Chronicles 6:18 · Berean Standard Bible

The sons of Kohath: Amram, Izhar, Hebron, and Uzziel.

Context

16Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari. 17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 19Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 20Wazao wa Gershoni: Gershoni akamzaa Libni, Libni akamzaa Yahathi, Yahathi akamzaa Zima,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.