Native Bible

1 Chronicles 6:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao:

1 Chronicles 6:19 in English

1 Chronicles 6:19 · Berean Standard Bible

The sons of Merari: Mahli and Mushi. These are the clans of the Levites listed according to their fathers:

Context

17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 19Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 20Wazao wa Gershoni: Gershoni akamzaa Libni, Libni akamzaa Yahathi, Yahathi akamzaa Zima, 21Zima akamzaa Yoa, Yoa akamzaa Ido, Ido akamzaa Zera, Zera akamzaa Yeatherai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.