Native Bible

Zephaniah 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ninyi pia, ee Wakushi, mtauawa kwa upanga wangu.”

Zephaniah 2:12 in English

Zephaniah 2:12 · Berean Standard Bible

“You too, O Cushites,* will be slain by My sword.”

Context

10Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao, kwa kutukana na kudhihaki watu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote. 11Bwana atakuwa wa kuhofisha kwao atakapoangamiza miungu yote ya nchi. Mataifa katika kila pwani yatamwabudu, kila moja katika nchi yake. 12“Ninyi pia, ee Wakushi, mtauawa kwa upanga wangu.” 13Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini na kuangamiza Waashuru, akiiacha Ninawi ukiwa na pakame kama jangwa. 14Makundi ya kondoo na ngʼombe yatajilaza pale, viumbe vya kila aina. Bundi wa jangwani na bundi waliao kwa sauti nyembamba wataishi juu ya nguzo zake. Mwangwi wa kuita kwao utapita madirishani, kifusi kitakuwa milangoni, boriti za mierezi zitaachwa wazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.