Zekaria 6:3
Zechariah 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
la tatu lilivutwa na farasi weupe na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu.
Zechariah 6:3 in English
Zechariah 6:3 · Berean Standard Bible
the third white horses, and the fourth dappled horses—all of them strong.
Context
1Nikatazama juu tena: nikaona mbele yangu magari manne ya vita yakija kutoka kati ya milima miwili, milima ya shaba! 2Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi, 3la tatu lilivutwa na farasi weupe na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu. 4Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani bwana wangu?” 5Malaika akanijibu, “Hizi ni roho nne za mbinguni zisimamazo mbele ya uwepo wa Bwana wa dunia yote, zinatoka kwenda kufanya kazi yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.