Zekaria 6:1
Zechariah 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nikatazama juu tena: nikaona mbele yangu magari manne ya vita yakija kutoka kati ya milima miwili, milima ya shaba!
Zechariah 6:1 in English
Zechariah 6:1 · Berean Standard Bible
And again I lifted up my eyes and saw four chariots coming out from between two mountains—mountains of bronze.
Context
1Nikatazama juu tena: nikaona mbele yangu magari manne ya vita yakija kutoka kati ya milima miwili, milima ya shaba! 2Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi, 3la tatu lilivutwa na farasi weupe na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.