Zekaria 6:2
Zechariah 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi,
Zechariah 6:2 in English
Zechariah 6:2 · Berean Standard Bible
The first chariot had red horses, the second black horses,
Context
1Nikatazama juu tena: nikaona mbele yangu magari manne ya vita yakija kutoka kati ya milima miwili, milima ya shaba! 2Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi, 3la tatu lilivutwa na farasi weupe na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu. 4Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani bwana wangu?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.