Native Bible

Song of Songs 4:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimea yako ni bustani ya mikomamanga yenye matunda mazuri sana, yenye hina na nardo,

Song of Songs 4:13 in English

Song of Songs 4:13 · Berean Standard Bible

Your branches are an orchard of pomegranates with the choicest of fruits, with henna and nard,

Context

11Midomo yako inadondosha utamu kama sega la asali, bibi arusi wangu; maziwa na asali viko chini ya ulimi wako. Harufu nzuri ya mavazi yako ni kama ile ya Lebanoni. 12Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu, bibi arusi wangu; wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa, chemchemi yangu peke yangu. 13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga yenye matunda mazuri sana, yenye hina na nardo, 14nardo na zafarani, mchai na mdalasini, pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, manemane na udi, na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote. 15Wewe ni chemchemi ya bustani, kisima cha maji yatiririkayo, yakitiririka kutoka Lebanoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.