Native Bible

Song of Songs 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe ni chemchemi ya bustani, kisima cha maji yatiririkayo, yakitiririka kutoka Lebanoni.

Song of Songs 4:15 in English

Song of Songs 4:15 · Berean Standard Bible

You are a garden spring, a well of fresh water * flowing down from Lebanon.

Context

13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga yenye matunda mazuri sana, yenye hina na nardo, 14nardo na zafarani, mchai na mdalasini, pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, manemane na udi, na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote. 15Wewe ni chemchemi ya bustani, kisima cha maji yatiririkayo, yakitiririka kutoka Lebanoni. 16Amka, upepo wa kaskazini, na uje, upepo wa kusini! Vuma juu ya bustani yangu, ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ngʼambo. Mpendwa wangu na aje bustanini mwake na kuonja matunda mazuri sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.