Warumi 11:6
Romans 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini ikiwa wamechaguliwa kwa neema, si tena kwa msingi wa matendo. Kama ingekuwa kwa matendo, neema isingekuwa neema tena.
Romans 11:6 in English
Romans 11:6 · Berean Standard Bible
And if it is by grace, then it is no longer by works. Otherwise, grace would no longer be grace.*
Context
4Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.” 5Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu. 6Lakini ikiwa wamechaguliwa kwa neema, si tena kwa msingi wa matendo. Kama ingekuwa kwa matendo, neema isingekuwa neema tena. 7Tuseme nini basi? Kile kitu ambacho Israeli alikitafuta kwa bidii hakukipata. Lakini waliochaguliwa walikipata. Waliobaki walifanywa wagumu, 8kama ilivyoandikwa:
“Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo,
macho ili wasiweze kuona,
na masikio ili wasiweze kusikia,
hadi leo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.