Warumi 11:5
Romans 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu.
Romans 11:5 in English
Romans 11:5 · Berean Standard Bible
In the same way, at the present time there is a remnant chosen by grace.
Context
3Alisema, “Bwana, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?” 4Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.” 5Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu. 6Lakini ikiwa wamechaguliwa kwa neema, si tena kwa msingi wa matendo. Kama ingekuwa kwa matendo, neema isingekuwa neema tena. 7Tuseme nini basi? Kile kitu ambacho Israeli alikitafuta kwa bidii hakukipata. Lakini waliochaguliwa walikipata. Waliobaki walifanywa wagumu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.