Warumi 10:17
Romans 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Romans 10:17 in English
Romans 10:17 · Berean Standard Bible
Consequently, faith comes by hearing, and hearing by the word of Christ.
Context
15Nao watahubirije wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, “Tazama jinsi ilivyo mizuri miguu yao wale wanaohubiri habari njema!” 16Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?” 17Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo. 18Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana:
“Sauti yao imeenea duniani pote,
nayo maneno yao yameenea
hadi miisho ya ulimwengu.” 19Nami nauliza tena: Je, Waisraeli hawakuelewa? Kwanza, Mose asema,
“Nitawafanya mwe na wivu
kwa watu wale ambao si taifa.
Nitawakasirisha kwa taifa
lile lisilo na ufahamu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.