Zaburi 97:9
Psalms 97:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.
Psalms 97:9 in English
Psalms 97:9 · Berean Standard Bible
For You, O LORD, are Most High over all the earth; You are exalted far above all gods.
Context
7Wote waabuduo sanamu waaibishwa,
wale wajisifiao sanamu:
mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 8Sayuni husikia na kushangilia,
vijiji vya Yuda vinafurahi
kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote;
umetukuka sana juu ya miungu yote. 10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu,
kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake
na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 11Nuru huangaza wenye haki
na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.