Native Bible

Psalms 97:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu.

Psalms 97:10 in English

Psalms 97:10 · Berean Standard Bible

Hate evil, O you who love the LORD! He preserves the souls of His saints; He delivers them from the hand of the wicked.

Context

8Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote. 10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 11Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 12Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.