Native Bible

Psalms 97:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.

Psalms 97:12 in English

Psalms 97:12 · Berean Standard Bible

Rejoice in the LORD, you righteous ones, and praise His holy name.

Context

10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 11Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 12Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.