Zaburi 97:11
Psalms 97:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Psalms 97:11 in English
Psalms 97:11 · Berean Standard Bible
Light shines * on the righteous, gladness on the upright in heart.
Context
9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote;
umetukuka sana juu ya miungu yote. 10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu,
kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake
na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 11Nuru huangaza wenye haki
na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 12Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki,
lisifuni jina lake takatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.