Native Bible

Psalms 97:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana.

Psalms 97:8 in English

Psalms 97:8 · Berean Standard Bible

Zion hears and rejoices, and the towns of Judah exult because of Your judgments, O LORD.

Context

6Mbingu zinatangaza haki yake, na mataifa yote huona utukufu wake. 7Wote waabuduo sanamu waaibishwa, wale wajisifiao sanamu: mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 8Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote. 10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.