Native Bible

Psalms 97:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wote waabuduo sanamu waaibishwa, wale wajisifiao sanamu: mwabuduni yeye, enyi miungu yote!

Psalms 97:7 in English

Psalms 97:7 · Berean Standard Bible

All worshipers of images are put to shame— those who boast in idols. Worship Him, all you gods!

Context

5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana, mbele za Bwana wa dunia yote. 6Mbingu zinatangaza haki yake, na mataifa yote huona utukufu wake. 7Wote waabuduo sanamu waaibishwa, wale wajisifiao sanamu: mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 8Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.